Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 64:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Nikinge kutokana na njama za siri za waovu,+

      Kutoka kwa umati wa watenda maovu.

       3 Wanaunoa ulimi wao kama upanga;

      Wanayalenga maneno yao ya ukatili kama mishale,

  • Isaya 54:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Hakuna silaha yoyote itakayotokezwa dhidi yako itakayofanikiwa,+

      Nawe utauhukumu ulimi wowote utakaoinuka dhidi yako katika hukumu.

      Huu ndio urithi wa watumishi wa Yehova,

      Na uadilifu wao unatoka kwangu,” asema Yehova.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki