-
Kutoka 24:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kisha Musa akachukua nusu ya damu ya wanyama hao na kuitia ndani ya mabakuli, na nusu ya damu hiyo akainyunyiza kwenye madhabahu.
-