Maombolezo 1:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Kutoka juu sana ameushusha moto mifupani mwangu,+ naye anautiisha kila mfupa. Ametandaza wavu wa kunasa miguu yangu; amenilazimisha nirudi nyuma. Amenifanya kuwa mwanamke aliye ukiwa. Mchana kutwa mimi ni mgonjwa.
13 Kutoka juu sana ameushusha moto mifupani mwangu,+ naye anautiisha kila mfupa. Ametandaza wavu wa kunasa miguu yangu; amenilazimisha nirudi nyuma. Amenifanya kuwa mwanamke aliye ukiwa. Mchana kutwa mimi ni mgonjwa.