Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 90:5, 6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Unawafagilia mbali;+ wanakuwa kama usingizi tu;

      Asubuhi, wao ni kama majani yanayochipuka.+

       6 Asubuhi yanachanua maua na kusitawi,

      Lakini ifikapo jioni yamenyauka na kukauka.+

  • 1 Petro 1:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Kwa maana “wote wenye mwili ni kama nyasi, na utukufu wao wote ni kama ua la shambani; nyasi hukauka, na ua huanguka,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki