-
Mwanzo 41:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 “Sasa basi, Ee Farao, mtafute mwanamume mwenye busara na hekima umweke kuwa msimamizi wa nchi ya Misri.
-
-
Mwanzo 41:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Kwa hiyo Farao akawaambia watumishi wake: “Je, kweli kuna mwanamume mwingine anayeweza kupatikana kama huyu aliye na roho ya Mungu?”
-