Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 8:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Nao wakafanya hivyo. Haruni akaunyoosha mkono wake uliokuwa na fimbo yake na kuyapiga mavumbi ya ardhi, na mbu wakawavamia wanadamu na wanyama. Mavumbi yote katika nchi yote ya Misri yakawa mbu.+

  • Kutoka 8:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Basi Yehova akafanya kama alivyosema, na makundi makubwa sana ya nzi yakaanza kuvamia nyumba ya Farao na nyumba za watumishi wake na nchi yote ya Misri.+ Nchi ikaharibiwa na nzi hao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki