Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 9:23-26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Kwa hiyo Musa akainyoosha fimbo yake kuelekea mbinguni, na Yehova akaleta ngurumo na mvua ya mawe, na moto* ukashuka duniani, na Yehova akafanya mvua ya mawe iendelee kunyesha juu ya nchi ya Misri. 24 Kulikuwa na mvua ya mawe, na moto ulikuwa ukiwakawaka katikati ya mvua hiyo. Mvua hiyo ilikuwa kubwa sana; mvua kama hiyo haikuwa imewahi kuonekana Misri tangu nchi hiyo iwe taifa.+ 25 Mvua hiyo ya mawe ilipiga kila kitu kilichokuwa shambani katika nchi yote ya Misri, kuanzia mwanadamu mpaka mnyama, iliharibu kabisa mimea yote na kuvunjavunja miti yote ya shambani.+ 26 Ila tu mvua hiyo ya mawe haikunyesha katika nchi ya Gosheni, ambako Waisraeli waliishi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki