-
Zaburi 35:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Acha wote waaibishwe na kufedheheshwa,
Wale wanaonicheka kwa sababu ya msiba wangu.
Acha wale wanaojikweza juu yangu wavishwe aibu na fedheha.
-