-
Kutoka 15:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kwa pumzi moja kutoka katika mianzi ya pua yako maji yalikusanyika pamoja;
Yalisimama tuli, yakazuia mafuriko;
Mawimbi makubwa yaligandamana katikati ya bahari.
-