Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yakobo 1:23-25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Kwa maana ikiwa yeyote ni msikiaji wa neno, na si mtendaji,+ huyo ni kama mtu anayeutazama uso wake* katika kioo. 24 Kwa maana yeye hujitazama na kwenda zake na kusahau mara moja jinsi alivyo. 25 Lakini anayechunguza sheria kamilifu+ ambayo ni ya uhuru na kudumu katika hiyo, amekuwa, si msikiaji msahaulifu, bali mtendaji wa kazi; naye atafurahia kile anachofanya.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki