11 Baadaye Sauli akawatuma wajumbe nyumbani kwa Daudi ili wailinde na kumuua asubuhi,+ lakini Mikali mke wa Daudi akamwambia Daudi: “Usipotoroka usiku wa leo, kesho utakuwa mfu.”
26 Sauli alipofika upande mmoja wa mlima, Daudi na wanaume wake walikuwa upande wa pili wa mlima huo. Daudi alikuwa akifanya haraka kumkimbia+ Sauli, lakini Sauli na wanaume wake walikuwa wakimkaribia Daudi na wanaume wake ili wawakamate.+