Zaburi 27:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Waovu waliponishambulia ili waunyafue mwili wangu,+Wapinzani wangu na maadui wangu ndio waliojikwaa na kuanguka.
2 Waovu waliponishambulia ili waunyafue mwili wangu,+Wapinzani wangu na maadui wangu ndio waliojikwaa na kuanguka.