Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Wakati huo tulichukua nchi ya wafalme wawili wa Waamori+ waliokuwa katika eneo la Yordani, kuanzia Bonde* la Arnoni mpaka Mlima Hermoni+ 9 (Wasidoni walikuwa wakiuita mlima huo Sirioni, nao Waamori walikuwa wakiuita Seniri),

  • 1 Mambo ya Nyakati 5:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Wazao wa nusu ya kabila la Manase+ waliishi katika nchi hiyo kuanzia Bashani mpaka Baal-hermoni na Seniri na Mlima Hermoni.+ Walikuwa wengi sana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki