Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 12:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Hawa ndio wafalme ambao Yoshua na Waisraeli waliwashinda upande wa magharibi wa Yordani, kuanzia Baal-gadi+ katika Bonde la Lebanoni+ hadi Mlima Halaki,+ unaopanda hadi Seiri,+ halafu Yoshua akayapa makabila ya Israeli nchi yao ili waimiliki na kugawana kulingana na makabila yao,+ 8 katika eneo lenye milima, Shefela, Araba, kwenye miteremko, nyikani, na katika Negebu+—nchi ya Wahiti, Waamori,+ Wakanaani, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi:+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki