Zaburi 27:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Usinifiche uso wako.+ Usimfukuze kwa hasira mtumishi wako. Wewe ni msaidizi wangu;+Usinitupe wala usiniache, Mungu wa wokovu wangu.
9 Usinifiche uso wako.+ Usimfukuze kwa hasira mtumishi wako. Wewe ni msaidizi wangu;+Usinitupe wala usiniache, Mungu wa wokovu wangu.