Mambo ya Walawi 26:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Nitaleta amani nchini,+ nanyi mtalala na hakuna yeyote atakayewaogopesha;+ nami nitawaondoa nchini wanyama wote wakali wa mwituni, na hakuna mtu yeyote atakayewashambulia kwa upanga katika nchi yenu. Isaya 60:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Badala ya shaba nitaleta dhahabu,Na badala ya chuma nitaleta fedha,Badala ya mbao, shaba,Na badala ya mawe, chuma;Nitaweka amani kuwa waangalizi wakoNa uadilifu kuwa watu wako wanaogawa kazi.+
6 Nitaleta amani nchini,+ nanyi mtalala na hakuna yeyote atakayewaogopesha;+ nami nitawaondoa nchini wanyama wote wakali wa mwituni, na hakuna mtu yeyote atakayewashambulia kwa upanga katika nchi yenu.
17 Badala ya shaba nitaleta dhahabu,Na badala ya chuma nitaleta fedha,Badala ya mbao, shaba,Na badala ya mawe, chuma;Nitaweka amani kuwa waangalizi wakoNa uadilifu kuwa watu wako wanaogawa kazi.+