Waamuzi 11:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Mwishowe Yeftha akafika nyumbani kwake Mispa,+ na tazama! binti yake akatoka ili kumpokea, huku akipiga tari na kucheza dansi! Naye alikuwa ndiye mtoto pekee. Yeftha hakuwa na mwana wala binti mwingine ila yeye.
34 Mwishowe Yeftha akafika nyumbani kwake Mispa,+ na tazama! binti yake akatoka ili kumpokea, huku akipiga tari na kucheza dansi! Naye alikuwa ndiye mtoto pekee. Yeftha hakuwa na mwana wala binti mwingine ila yeye.