Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 16:25, 26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kisha Musa akaondoka na kwenda kwa Dathani na Abiramu, na wazee+ wa Israeli wakaenda pamoja naye. 26 Musa akawaambia hivi watu wote: “Tafadhali, ondokeni karibu na mahema ya watu hawa waovu wala msiguse kitu chochote ambacho ni mali yao, msije mkafagiliwa mbali kwa sababu ya dhambi yao yote.”

  • Zaburi 26:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Usinifagilie mbali* pamoja na watenda dhambi+

      Wala kuniua pamoja na watu wakatili,*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki