Isaya 2:12, 13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Kwa maana hiyo ni siku ya Yehova wa majeshi.+ Itakuja dhidi ya kila mtu mwenye majivuno na anayejiinua,Itakuja dhidi ya kila mtu, aliyekwezwa au aliye chini,+13 Dhidi ya mierezi yote ya Lebanoni ambayo ni mirefu na iliyo juuNa dhidi ya mialoni yote ya Bashani,
12 Kwa maana hiyo ni siku ya Yehova wa majeshi.+ Itakuja dhidi ya kila mtu mwenye majivuno na anayejiinua,Itakuja dhidi ya kila mtu, aliyekwezwa au aliye chini,+13 Dhidi ya mierezi yote ya Lebanoni ambayo ni mirefu na iliyo juuNa dhidi ya mialoni yote ya Bashani,