Kumbukumbu la Torati 3:8, 9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 “Wakati huo tulichukua nchi ya wafalme wawili wa Waamori+ waliokuwa katika eneo la Yordani, kuanzia Bonde* la Arnoni mpaka Mlima Hermoni+ 9 (Wasidoni walikuwa wakiuita mlima huo Sirioni, nao Waamori walikuwa wakiuita Seniri),
8 “Wakati huo tulichukua nchi ya wafalme wawili wa Waamori+ waliokuwa katika eneo la Yordani, kuanzia Bonde* la Arnoni mpaka Mlima Hermoni+ 9 (Wasidoni walikuwa wakiuita mlima huo Sirioni, nao Waamori walikuwa wakiuita Seniri),