12 Daudi akayaweka maneno hayo moyoni mwake, naye akamwogopa sana+ Mfalme Akishi wa Gathi. 13 Kwa hiyo akajifanya hana akili timamu+ mbele yao na kutenda kama mwenda wazimu kati yao. Alikuwa akitia alama kwenye milango ya lango na kuacha mate yake yatiririke kwenye ndevu zake.