Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 19:4, 5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi Yonathani akamsifu Daudi+ mbele ya Sauli baba yake. Akamwambia: “Mfalme, usimtendee dhambi mtumishi wako Daudi kwa sababu yeye hajakutendea dhambi na mambo aliyokufanyia yamekunufaisha. 5 Alihatarisha uhai wake* alipomuua yule Mfilisti,+ na Yehova akawapa Waisraeli wote ushindi* mkubwa. Uliona jambo hilo, ukashangilia sana. Basi kwa nini uitendee dhambi damu isiyo na hatia kwa kuagiza Daudi auawe bila sababu?”+

  • 1 Samweli 20:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Ndipo Sauli akamtupia mkuki ili amuue,+ basi Yonathani akajua kwamba baba yake alikuwa ameazimia kumuua Daudi.+

  • Yeremia 18:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Je, wema unapaswa kulipwa kwa uovu?

      Kwa maana wameuchimbia shimo uhai wangu.*+

      Kumbuka jinsi nilivyosimama mbele zako ili kusema mema kuwahusu,

      Ili kuwaondolea ghadhabu yako.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki