Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 31:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Nimesikia uvumi mwingi wa uovu;

      Nimezungukwa na hofu.+

      Wanapokusanyika pamoja kama kitu kimoja dhidi yangu,

      Wanapanga njama ya kuniua.*+

  • Yeremia 11:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Nilikuwa kama mwanakondoo mtulivu anayepelekwa machinjioni.

      Sikujua kwamba walikuwa wakipanga njama dhidi yangu:+

      “Na tuuangamize ule mti na matunda yake,

      Na tumkate kabisa kutoka kwenye nchi ya walio hai,

      Ili jina lake lisikumbukwe kamwe.”

  • Mathayo 26:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 nao wakapanga njama pamoja+ ili kumkamata Yesu kwa hila* na kumuua.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki