20 nitawang’oa Waisraeli kutoka katika nchi ambayo nimewapa,+ na nyumba hii ambayo nimeitakasa kwa ajili ya jina langu nitaitupilia mbali kutoka mbele za macho yangu, nami nitaifanya iwe kitu cha kudharauliwa na kitu cha kudhihakiwa miongoni mwa mataifa yote.+