-
Malaki 4:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 “Nanyi mtawakanyaga-kanyaga waovu chini ya miguu yenu, kwa sababu watakuwa kama mavumbi chini ya nyayo zenu siku nitakayochukua hatua,” asema Yehova wa majeshi.
-