Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 31:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Nitakapowaleta katika nchi ambayo niliwaapia mababu zao+—nchi inayotiririka maziwa na asali+—nao wale na kushiba na kufanikiwa,*+ wataigeukia miungu mingine na kuiabudu na kunidharau na kulivunja agano langu.+

  • Waebrania 8:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Halitakuwa kama agano nililofanya pamoja na mababu zao siku niliyowashika mkono na kuwaongoza kutoka nchini Misri,+ kwa sababu hawakuendelea kulishika agano langu, basi nikaacha kuwajali,’ asema Yehova.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki