Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 8:1-3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Je, hekima haipazi sauti?

      Je, utambuzi hauinui sauti yake?+

       2 Kwenye sehemu zilizoinuka+ pembeni mwa barabara,

      Husimama kwenye makutano ya barabara.

       3 Karibu na malango yanayoelekea jijini,

      Kwenye njia zinazoelekea milangoni,

      Huendelea kulia kwa sauti kubwa:+

  • Methali 9:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Hekima ya kweli imejenga nyumba yake;

      Imechonga nguzo zake saba.

  • Methali 9:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  3 Imewatuma vijakazi wake

      Ili waite kwa sauti kutoka vileleni juu ya jiji:+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki