Luka 6:38 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 38 Muwe na mazoea ya kuwapa watu, nanyi mtapewa.+ Watawamwagia kwenye mfuko wa nguo zenu kipimo kizuri, kilichoshindiliwa, kilichotikiswa, na kufurika. Kwa maana kwa kipimo mnachowapimia watu, ndicho watakachowapimia.”
38 Muwe na mazoea ya kuwapa watu, nanyi mtapewa.+ Watawamwagia kwenye mfuko wa nguo zenu kipimo kizuri, kilichoshindiliwa, kilichotikiswa, na kufurika. Kwa maana kwa kipimo mnachowapimia watu, ndicho watakachowapimia.”