Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 7:3, 4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Malkia Esta akajibu: “Ikiwa nimepata kibali chako, Ee mfalme, nawe mfalme ukipenda, naomba uuokoe uhai wangu,* na pia uhai wa watu wangu.+ 4 Kwa maana tumeuzwa,+ mimi na watu wangu, tuangamizwe, tuuawe, na kufutiliwa mbali.+ Kama tungeuzwa tuwe watumwa wa kiume na wa kike, ningekaa kimya. Lakini msiba huu haufai, kwa sababu utamletea mfalme hasara.”

  • Methali 14:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  3 Fimbo ya kiburi imo kinywani mwa mpumbavu,

      Lakini midomo ya wenye hekima itawalinda.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki