3 Sasa Israeli alimpenda sana Yosefu kuliko wanawe wengine+ kwa sababu alimzaa uzeeni, naye alikuwa amemshonea joho la pekee. 4 Ndugu zake walipoona kwamba baba yao alimpenda sana kuliko yeyote miongoni mwao, wakaanza kumchukia, na hawakuzungumza naye kwa amani.