-
Mambo ya Walawi 26:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 “‘Lakini mkiendelea kunipinga na kukataa kunisikiliza, ndipo mimi nitalazimika kuwapiga mara saba zaidi, kulingana na dhambi zenu.
-
-
Methali 1:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Kwa maana upotovu wa wajinga utawaua,
Na kutojali kwa wapumbavu kutawaangamiza.
-