Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 9:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Anayemrekebisha mtu mwenye dhihaka hualika aibu,+

      Na yeyote anayemkaripia mtu mwovu ataumia.

  • Yohana 3:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kwa maana yeyote ambaye huzoea kutenda mambo maovu huchukia nuru na haji kwenye nuru, ili matendo yake yasikaripiwe.*

  • Yohana 7:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ulimwengu hauna sababu ya kuwachukia ninyi, lakini unanichukia mimi kwa sababu ninatoa ushahidi kuuhusu kwamba matendo yake ni maovu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki