Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 25:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Basi Abigaili+ akachukua haraka mikate 200, mitungi miwili mikubwa ya divai, kondoo watano waliochinjwa, sea tano* za nafaka iliyokaangwa, keki 100 za zabibu kavu, na keki 200 za tini zilizoshinikizwa, akapakia vitu hivyo vyote juu ya punda.+

  • 1 Samweli 25:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Basi Daudi akapokea vitu ambavyo Abigaili alikuwa amemletea na kumwambia: “Panda uende nyumbani kwako kwa amani. Tazama, nimekusikiliza na nitatimiza ombi lako.”

  • Methali 18:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Zawadi ya mwanadamu humfungulia njia;+

      Humwezesha kufika mbele ya watu mashuhuri.

  • Methali 19:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Wengi hujipendekeza kwa mtu maarufu,*

      Na kila mtu ni rafiki ya yule anayetoa zawadi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki