-
Mwanzo 39:10-12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Basi siku baada ya siku alizungumza na Yosefu, lakini Yosefu hakukubali kamwe kulala naye wala kukaakaa naye. 11 Lakini siku moja kati ya siku ambazo Yosefu aliingia nyumbani kufanya kazi yake, hakukuwa na mtumishi yeyote nyumbani. 12 Basi mke wa Potifa akaishika kwa nguvu nguo ya Yosefu akisema: “Lala nami!” Lakini Yosefu akaiacha nguo yake mikononi mwake na kukimbilia nje.
-
-
Methali 7:4, 5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Iambie hekima, “Wewe ni dada yangu,”
Na uuite uelewaji “mtu wangu wa ukoo,”
-