Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 16:21, 22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Basi Ahithofeli akamwambia Absalomu: “Fanya ngono na masuria wa baba yako,+ aliowaacha waitunze nyumba.*+ Kisha Waisraeli wote watasikia kwamba umekuwa uvundo kwa baba yako, na wale wanaokuunga mkono watapata nguvu.” 22 Kwa hiyo wakampigia hema Absalomu juu ya paa,+ naye Absalomu akafanya ngono na masuria wa baba yake+ Waisraeli wote wakitazama.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki