-
Matendo 13:8-10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Lakini Elima mlozi (kwa maana hivyo ndivyo jina lake linavyotafsiriwa) akaanza kuwapinga, akijaribu kumzuia yule liwali asiwe mwamini. 9 Ndipo Sauli, aitwaye pia Paulo, akiwa amejaa roho takatifu, akamtazama kwa makini 10 na kumwambia: “Ewe mtu uliyejaa kila aina ya upunjaji na kila aina ya ulaghai, wewe mwana wa Ibilisi,+ wewe adui wa kila jambo la uadilifu, je, hutaacha kuzipotosha njia za Yehova* zilizo sawa?
-