-
2 Samweli 20:9, 10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Yoabu akamuuliza Amasa: “Je, hali yako ni njema ndugu yangu?” Kisha Yoabu akamshika Amasa ndevu kwa mkono wa kulia kana kwamba anataka kumbusu. 10 Amasa hakuchukua tahadhari kuhusiana na upanga uliokuwa mkononi mwa Yoabu, basi Yoabu akamchoma tumboni kwa upanga huo,+ na matumbo yake yakamwagika ardhini. Hakuhitaji kumchoma tena; alikufa alipochomwa mara moja. Kisha Yoabu na ndugu yake Abishai wakamfuatia Sheba mwana wa Bikri.
-