Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 15:13-15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Mwishowe Samweli alipomfikia Sauli, Sauli akamwambia: “Yehova na akubariki. Nimetekeleza neno la Yehova.” 14 Lakini Samweli akamwambia: “Basi mbona nasikia milio ya kondoo na ng’ombe?”+ 15 Sauli akamjibu: “Waliletwa kutoka kwa Waamaleki, kwa sababu watu waliwaacha hai* kondoo bora na ng’ombe bora ili wawatoe dhabihu kwa Yehova Mungu wako; lakini vitu vilivyobaki tuliviangamiza.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki