Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sefania 3:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  3 Wakuu wake walio ndani yake ni simba wanaonguruma.+

      Waamuzi wake ni mbwamwitu wakati wa usiku;

      Hawaachi hata mfupa mmoja wa kuguguna mpaka asubuhi.

  • Mathayo 2:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Herode alipoona ameshindwa akili na wale wanajimu, akakasirika sana, akaamuru wavulana wote huko Bethlehemu na wilaya zake zote wauawe, kuanzia umri wa miaka miwili kwenda chini, kulingana na wakati aliokuwa amehakikisha kwa uangalifu kutoka kwa wale wanajimu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki