Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 6:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Hamani alipoingia, mfalme akamwambia: “Afanyiwe nini mtu ambaye mfalme angependa kumheshimu?” Hamani akajiambia moyoni: “Mfalme angependa kumheshimu nani isipokuwa mimi?”+

  • Esta 6:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Mara moja mfalme akamwambia Hamani: “Fanya haraka! Chukua mavazi na farasi, nawe umfanyie Mordekai kama ulivyosema, yule Myahudi anayeketi katika lango la mfalme. Usikose kumfanyia lolote kati ya mambo uliyosema.”

  • Yakobo 4:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Hata hivyo, fadhili zisizostahiliwa ambazo Yeye hutoa ni kubwa zaidi. Kwa hiyo, linasema: “Mungu huwapinga wenye majivuno,+ lakini huwapa wanyenyekevu fadhili zisizostahiliwa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki