Isaya 40:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Ni nani amepima maji katika konzi ya mkono wake+Na kupima vipimo vya* mbingu kwa shubiri* ya mkono wake? Ni nani ameyakusanya mavumbi ya dunia katika kipimio+Au kupima milima katika mizaniNa vilima katika mizani?
12 Ni nani amepima maji katika konzi ya mkono wake+Na kupima vipimo vya* mbingu kwa shubiri* ya mkono wake? Ni nani ameyakusanya mavumbi ya dunia katika kipimio+Au kupima milima katika mizaniNa vilima katika mizani?