Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 36:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Dhambi huzungumza na mwovu ndani kabisa ya moyo wake;

      Hakuna hofu ya Mungu mbele ya macho yake.+

       2 Kwa maana hujisifusifu sana machoni pake mwenyewe

      Hivi kwamba hawezi kutambua kosa lake na kulichukia.+

  • Isaya 65:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Wanasema, ‘Kaa peke yako; usinikaribie,

      Kwa maana mimi ni mtakatifu kuliko wewe.’*

      Hawa ni moshi katika mianzi ya pua yangu, moto unaowaka mchana kutwa.

  • 1 Yohana 1:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ikiwa tunasema, “Hatuna dhambi,” tunajipotosha wenyewe+ na kweli haimo ndani yetu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki