Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 30:21-23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Kuna mambo matatu yanayoitetemesha dunia

      Na mambo manne ambayo haiwezi kuvumilia:

      22 Mtumwa anapotawala akiwa mfalme,+

      Mjinga anaposhiba kupita kiasi,

      23 Mwanamke anayechukiwa* anapoolewa,

      Na kijakazi anapochukua nafasi ya bimkubwa wake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki