1 Wafalme 4:22, 23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Chakula cha kila siku cha Sulemani kilikuwa kori 30* za unga laini na kori 60 za unga, 23 ng’ombe 10 waliononeshwa, ng’ombe 20 waliopelekwa malishoni, na kondoo 100, pamoja na paa kadhaa, swala, kulungu, na ndege waliononeshwa.
22 Chakula cha kila siku cha Sulemani kilikuwa kori 30* za unga laini na kori 60 za unga, 23 ng’ombe 10 waliononeshwa, ng’ombe 20 waliopelekwa malishoni, na kondoo 100, pamoja na paa kadhaa, swala, kulungu, na ndege waliononeshwa.