Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 36:27, 28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Yeye huvuta juu matone ya maji;+

      Yanaganda na kuwa mvua kutokana na ukungu wake;

      28 Kisha mawingu huyamwaga chini;+

      Yanawanyeshea wanadamu.

  • Isaya 55:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kwa maana kama mvua na theluji inavyomwagika kutoka mbinguni

      Nayo hairudi huko mpaka iiloweshe dunia na kuifanya izae na kuchipuka,

      Na kumpa mbegu mpandaji na mkate yule anayekula,

  • Amosi 5:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Yule aliyeumba kundi la nyota la Kima* na kundi la nyota la Kesili,*+

      Yule anayebadili kivuli kizito kuwa asubuhi,

      Yule anayefanya mchana uwe na giza kama usiku,+

      Yule anayeyaita maji ya bahari

      Ili ayamwage kwenye nchi kavu+

      —Yehova ndilo jina lake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki