-
1 Samweli 30:11, 12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Wanaume hao wakamkuta mwanamume fulani Mmisri mbugani na kumpeleka kwa Daudi. Wakampa chakula na maji ya kunywa, 12 na pia kipande cha keki ya tini zilizoshinikizwa na keki mbili za zabibu kavu. Baada ya kula, akapata nguvu,* kwa sababu hakuwa amekula chakula chochote wala kunywa maji kwa siku tatu, mchana na usiku.
-