Wimbo wa Sulemani 5:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Nilikutana na walinzi waliokuwa wakizunguka jijini. Wakanipiga na kunijeruhi. Walinzi wa kuta wakanivua mtandio wangu.*
7 Nilikutana na walinzi waliokuwa wakizunguka jijini. Wakanipiga na kunijeruhi. Walinzi wa kuta wakanivua mtandio wangu.*