-
Zaburi 45:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Mavazi yako yote yametiwa manukato ya manemane na udi na kida;
Kutoka katika jumba tukufu la mfalme lililotengenezwa kwa pembe za tembo, vinanda vinakufanya ushangilie.
-