Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Yehova atawatuma maadui wenu wawashambulie, nanyi mtawatumikia+ mkiwa na njaa+ na kiu na uchi na mkiwa maskini kabisa.* Ataweka nira ya chuma kwenye shingo zenu mpaka atakapokuwa amewaangamiza.

  • Amosi 8:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 ‘Tazama! Siku zinakuja,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova,

      ‘Nitakapoleta njaa kali nchini,

      Si njaa kali ya chakula* au kiu ya maji,

      Bali ya kusikia maneno ya Yehova.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki