Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 30:22, 23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Mwishowe Mungu akamkumbuka Raheli, na Mungu akamsikia na kumjibu kwa kumwezesha kupata mimba.*+ 23 Akapata mimba na kuzaa mwana. Akasema: “Mungu ameiondoa aibu yangu!”+

  • Luka 1:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Baada ya siku chache Elisabeti mke wake akapata mimba, naye hakutoka nyumbani kwa miezi mitano. Alikuwa akisema: 25 “Yehova* amenitendea hivi katika siku hizi. Amenikumbuka ili kuniondolea aibu kati ya watu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki